BONY MWAITEGE - MWAMINI MUNGU (Offiicial Music Video) SMS SKIZA 9840973
0
0
0 Views·
28 July 2023
In
Gospel Songs
MWAMINI MUNGU ni wimbo ambao unalenga kukutia moyo na uweze kuziamini njia za Mungu kuwa yeye hachelewi wala hawahi.
Kupitia wimbo huu(mwamini Mungu) tunakukumbusha kutenda mema ,muda wako upo unakuja,usiwe na haraka kwa kuziangalia hatua za jilani yako.Mungu akubariki unapobarikiwa na ujumbe huu..
BONY MWAITEGE - MWAMINI MUNGU OFFICIAL VIDEO
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Show more
0 Comments
sort Sort By