CHAKUTUMAINI SINA.dinuzeno. (Oficial video).
0
0
2 意见·
10 八月 2023
在
音乐
Ni muda mrefu sasa tangia mmekuwa mkizisikiliza nyimbo mzipendazo za Tenzi za Rohoni kutoka kwa mwimbaji umpendaye na katika channel hii uipendayo.
Sasa nimeona ni vema niiweke video hii , napenda kukuona wewe mtu wangu wa karibu ukipata vitu tofauti tofauti. Iangalie video hii na uzidi kubarikiwa zaidi.
Whatsapp napatikana kwa namba; 0625954315.
Zaidi ya yote, Mungu wa mbinguni awabariki sana.
#natakanimjueyesu
显示更多
0 注释
sort 排序方式