Dhambi ya UZINZI ilivyo hatari kwa mtu aliyeokoka.
0
0
3 Views·
06 August 2023
Tunaupokea wokovu mara moja tu.
Hii ina maana kwamba kitendo cha kugusa dhambi hata mara moja hasa dhambi ya uzinzi ni hatari kuliko kawaida kwa wokovu wako. Fuatilia haya na mengine mengi katika ujumbe wa somo hili
Show more
0 Comments
sort Sort By