Emmanuel Mgogo--:MOYO WANGU UKICHOKA..UKAE NAMI.(Official Audio).
0
0
4 Vues·
02 Août 2023
Dans
La musique
Wimbo ni maalumu Kwa Kila mtumishi mwenye WITO na MSUKUMO wa kumtumikia Mungu katika Kristo Yesu.
# Habari za Nabii EZEKIEL, NEHEMIA, DANIEL, ZEKARIA, HAGAI, AMOSI NA JOELI ni maalum sana kwa Ujumbe wa Urejesho wa UTUKUFU WA MWISHO ULIO MKUU.
# Naamini wimbo huu utakupatia hatua mpya ya kuwa karibu na Mungu, na kukuingiza kwenye shauku kuu ya kutamani UWEPO WA MUNGU/ USO WA MUNGU ...ukuandame siku zote.
# NGUVU ZA MUNGU ...ndio utambulisho pekee wa Mtumishi wa Mungu...na kamwe sio dhehebu lako Wala Dini yako.....
# Nikuombe hakikisha Una-Subscribe kwenye channel yangu hii ...pia nifollow Kwa Instagram Kwa jina la @mgogogospelsinger.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par