Gamanywa: Sadukayo na Scavanger wa Siasa Amtaka Baraba
0
0
3 Mga view·
06 Agosto 2023
Huyu Mtu Wa Fitina, Mshabiki wa Wauaji na Wasio haki, Ana hoja Gani ya Kumwita Lissu Msaliti. Kuna siri au Nyaraka gani za siri za Serikali Tundu Lissu Amezipeleka Kwa Maadui?
Kuhoji kutekwa Watu kama Azori ni Usaliti? Je Kuteka watu ni Uzalendo?
kuhoju Manunuzi na Kandarasi zisizo na Zabuni Ni Usaliti? Je anayefana hayo ndiye Mzalendo?
Kuhohi Kubambikia watu kesi Wakiwemo Mashehe wa Uamsho ni Usaliti? Je anayewasingizia watu Kesi ndiye Mzalendo?
Pumbavu.
Magpakita ng higit pa
0 Mga komento
sort Pagbukud-bukurin Ayon