GVS CHOIR - Maombi ya Toba official video HD
1
0
6 Lượt xem·
08 Tháng tám 2023
Trong
Âm nhạc
Wimbo maombi ya toba ni wimbo uliobeba album ya maombi ya toba
Artist : gvs choir
Song :Maombi ya toba
writter : zakaria otavian
director :papaa octavian
#gvschoir #maombiyatoba #mmptbuza
Zaburi 51
1 Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Zaburi 51:1
2 Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
Zaburi 51:2
3 Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Zaburi 51:3
4 Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.
Zaburi 51:4
Cho xem nhiều hơn
0 Bình luận
sort Sắp xếp theo