HARAKATI ZA DINI MOJA DUNIANI ZAHUSISHWA NA MIKUTANO YA VIONGOZI WA DINI TANZANIA.
Je! Kuna Ukweli wowote kuhusiana na hali hiyo inayotokana na Mikutano mbalimbali ya Viongozi wa Dini Tanzania ambayo Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa amekuwa akishiriki,Anafafanua Askofu Gamanywa
OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
Nakukaribisha wewe unayetamani sana Mungu ajidhihirishe kwako leo bila kujali dini wala dhehebu ulilonalo kila wiki katika ibaada BCIC Mbezi beach kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
.
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/Bish....opSylvesterGamanywaB
Subscribe Wapo TV
https://www.youtube.com/channe....l/UC1nD4IBFbRob4LvxS
#HakunaLisilowezekana
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic
#wapotv
#bishopsylvestergamanywa