HUMBLE YOURSELF - Godwin Ombeni Ft. Fanuel Sedekia.
0
0
0 Kutazamwa·
02 Agosti 2023
katika
Nyimbo za Injili
Humble Yourself ni Wimbo mojawapo ya nyimbo katika Album yangu ya kwanza iitwayo Tufani Inapovuma. Album hii (Audio) niliimba na Rafiki yangu Fanuel Sedekia; Ndiye aliyenitia moyo kwenda Studio kwa mara ya kwanza.
#GodwinOmbeni#HumbleYourself#
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa