IBADA YA JUMAPILI TAR.02/02/2020 LIVE/MUBASHARA KUTOKA BCIC MBEZI BEACH
0
0
2 Views·
06 August 2023
#Mubasharajumapilibcic
Kila siku ya Jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa saba mchana ndani ya ukumbi wa BCIC Mbezi Beach Bishop Sylvester Gamanywa atakufundisha Neno la Mungu Linaloleta MABADILIKO YA MAISHA! USIPANGE KUKOSA! JUMAPILI IJAYO NI ZAMU YAKO!
Show more
0 Comments
sort Sort By