Ibada ya Jumapili ya Pasaka (16-04-2017) - Askofu Sylvester Gamanywa
0
0
2 Kutazamwa·
06 Agosti 2023
katika
Mafundisho ya Biblia
Ibada Live/Mubashara Jumapili ya Pasaka (16-04-2017) - Askofu Sylvester Gamanywa.
Leo ni siku Maalumu ya Sherehe ya Ushindi iliyofanyika Msalabani, pale Yesu Kristo aliposulubiwa kisha kufa na kuzikwa na siku ya Tatu, alifufuka kutoka wafu akiwa ameshinda mauti na sasa yuko hai milele.
Karibu kwenye ibada hii Live kutoka BCIC Mbezi Beach, Dar es Salaam.
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa