J & R Chat - Episode 33 - Special episode na dada Jennifer Mgendi
0
0
7 Tampilan·
15 Agustus 2023
Karibu sana kwenye Channel yetu ya J & R Chat . Leo tumepata bahati ya kuwa na maongezi na dada yetu mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za injili dada Jennifer Mgendi. Karibu usikilize na kuwatumia na wengine
Tunaomba uangalie, u- subscribe , share , comment and like . Ubarikiwe sana ❤️❤️
Menampilkan lebih banyak
0 Komentar
sort Sortir dengan