Strax

Jennifer Mgendi - Mchimba Mashimo (Ndani ya BCIC Majimeupe)

2 Visningar· 15 Augusti 2023
proshabo
proshabo
5 Prenumeranter
5

Karibu kanisani BCIC Majimeupe ili uweze kujifunza neno la Mungu Kristo aliye hai na unaweza pia kupata maombezi ya matatizo mbalimbali katika jina la Yesu!

Mwanamama Jennifer Mgendi alipokuja kutoa huduma kanisani kwetu BCIC Majimeupe, karibu umwangalie akiimba nyimbo yake ya Mungu ni Mungu Tu!

Hakuna Lisilowezekana....Amen!

Visa mer

 0 Kommentarer sort   Sortera efter


Strax