Jibu la Gwajima Juu ya Kuhusika Biashara ya Madawa ya Kulevya
0
0
3 Views·
06 August 2023
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Joseph Gwajima akijibu swali kuhusu tuhuma zilizomkabili juu ya yeye kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya iliyopelekea kushikiliwa na jeshi la Polisi kwa siku kadhaa
Show more
0 Comments
sort Sort By