Ken Kisilu - Kumtegemea Mwokozi (Official music video) sms SKIZA 5961278 to 811
0
0
0 مناظر·
01 ستمبر 2023
میں
موسیقی
Kumtegemea Mwokozi (Tenzi za Rohoni) sms SKIZA 5961278 to 811
Performed by Pst Ken Kisilu (+254712206883)
Audio & Video by High Step Media (Theophile SB)
Kumtegemea Mwokozi (Tis so sweet to trust in Jesus)
Lyrics
Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa,
Kukubali neno lake, Nina raha moyoni.
Chorus
Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti;
Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli.
Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa,
Kuamini damu yake, Nimeoshwa kamili.
Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa,
Kwake daima Napata, Uzima na amani.
Nafurahi kwa sababu, Nimekutegemea,
Yesu,Mpendwa na Rafiki, Uwe nami dawamu.
#KumtegemeaMwokozi #tenzizarohoni #hymn
مزید دکھائیں
0 تبصرے
sort ترتیب دیں