Up next

KILA UKIJITAHIDI KUSHINDA DHAMBI UNASHINDWA? Ona SIRI YA KUSHINDA DHAMBI JUMLA! (Habari ya Wokovu)

3 Views· 10 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Unaweza ukawa umehangaika sana na KUSHINDA dhambi ,KUSHINDA Tabia CHAFU ,Uovu,n.k

Lakini Nakupa Siri hii Muhimu,
YESU KRISTO NDIYE PEKEE AWEZAE KUKUPA USHINDI DHIDI YA DHAMBI N UOVU WOTE!

Imeandikwa *"Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao"* Mathayo 1:21

Neema ya Kristo Yesu ndio MAISHA yetu,HURU mbali na Dhambi.

Unachopaswa WEWE ni KUMWAMINI YESU Kristo katika Kweli,na MWOKOZI wako!

Yeye ameshalipia,laana na dhambi zetu zote ,Ili tuhesabiwe Haki katika yeye Mbele za Baba Mungu!
 "Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti"
Warumi 8;2

Neema ya Mungu Inatutosha!

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next