Strax

KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHURCH CHOIR

2 Visningar· 19 Augusti 2023
proshabo
proshabo
5 Prenumeranter
5
I musik

Please Subscribe to Njiro SDA Church Channel
Hii ni Official Youtube Channel ya Kanisa la Waadventista Wasabato Njiro. (Njiro Sda Church)
Ambalo pia ni Kanisa la Makao Makuu ya Kanisa la Waadventista Wasabato Union ya Kaskazini mwa Tanzania.
Itajihusisha na Kurusha matukio yote ya Kanisa la Waadventista Wasabato ndani ya Kanisa na nje ya Kanisa la Njiro, pia utapata kuona Video za Kwaya yetu pendwa ya Njiro Sda Choir kwa Album zote ikiwemo KISHINDO CHA WAKOMA.

YOUTUBE:
https://www.youtube.com/channe....l/UC6hIj5MHPmV2CqFk2
INSTAGRAM:
https://www.instagram.com/invites/contact/?i=10gbvy5xmxfz5&utm_content=micsej6
FACEBOOK:
https://www.facebook.com/profi....le.php?id=1000716906
CONTACT: +255 759 219 376
@njirosdachurch6802

Visa mer

 0 Kommentarer sort   Sortera efter


Strax