KUJAZWA ROHO MTAKATIFU | ARUSHA - PART 2
0
0
2 Views·
13 August 2023
Katika maisha yako hapa duniani, unamuhitaji Roho Mtakatifu ili uongozwe naye katika kila eneo la maisha yako.
BIASHARA yako inamuhitaji Roho Mtakatifu.
KAZI yako inamuhitaji Roho Mtakatifu.
HUDUMA yako inamuhitaji Roho Mtakatifu.
MASOMO yako yanamuhitaji Roho Mtakatifu
NDOA yako inamuhitaji YEYE.
Basi ni kwa namna gani unaweza kuendesha maisha yako bila YEYE? HAKUNA NAMNA. Wote tunamuhitaji Roho Mtakatifu ili kuongozwa NAYE.
Sikiliza somo hili na litakusaidia kumjua Roho Mtakatifu na kuongozwa naye katika maisha yako.
Shalom
#RohoMtakatifu
#AnointedRoomMinistry
Show more
0 Comments
sort Sort By