Kuoshwa kwa Damu (Official Video) - Damaris Njeri ft Florence Mureithi
0
0
5 Tampilan·
10 Agustus 2023
Di
Musik
#DamarisNjeri
Kuoshwa kwa Damu (Official Video) - Damaris Njeri ft Florence Mureithi
Lyrics
Wamwendea Yesu kwa kusafiwa
Na kuoshwa kwa damu ya kondoo
Je neema yake umemwagiwa
Umeoshwa kwa damu ya kondoo?
Kuoshwa kwa damu
Itutakasayo ya kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya kondoo?
Namwandama daima mkombozi
Na kuoshwa kwa damu ya kondoo
Yako kwa msulubiwa makazi
Umeoshwa kwa damu ya kondoo?
Atakapokuja Bwana Harusi
Uwe safi kwa damu ya kondoo
Yafae kwenda mbinguni mavazi
Yafuliwe kwa damu ya kondoo
Yatupwe yaliyo na takataka
Na uoshwe kwa damu ya kondoo
Huoni kijito chatiririka
Na uoshwe kwa damu ya kondoo
Menampilkan lebih banyak
0 Komentar
sort Sortir dengan