KWA KALVARI TENZI YA ROHONI
0
0
1 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
89. Kwa Kalvari
1. Muda mwingi nilipotea,
Sikufahamu msalaba,
Wala aliyenifilia,
Kwa Kalvari.
Rehema bure na neema,
Samaha nalo nilipewa,
Ndipo aliponifungua
Kwa Kalvari.
2. Kwa neno lake Bwana Mungu,
Nilijiona mimi mwovu,
Nikageuka na kutubu,
Kwa Kalvari.
3. Yote kwa Yesu namtolea,
Ndiye mfalme wa pekee sasa,
Kwa furaha nitamwimbia,
Wa Kalvari.
4. Jinsi pendo lilivyo kuu,
Neema ilishuswa toka juu,
Alitufanyia wokovu
Kwa Kalvari.
Shared From Tenzi za Rohoni Toleo Jipya. Click this link to download https://play.google.com/store/....apps/details?id=com.
Show more
0 Comments
sort Sort By