KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | EEH YAHWEH | OFFICIAL VIDEO
0
0
2 Visningar·
03 Augusti 2023
I
musik
Karibu ushiriki nasi baraka za Mungu katika wimbo huu mpya kutoka Kwaya Ya Uinjilisti Kijito.
JINA: EE YAHWEH
Video ya wimbo huu, ilirekodiwa katika ibada maarufu ya sifa (MSIMU WA PILI) ijulikanayo kama:
SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA.
Ni matumaini yetu kuwa utakwenda kubarikiwa na kumsifu Mungu kupitia wimbo huu.
Tunakusihi upatapo baraka za wimbo huu, basi shirikisha na wengine pia.
Visa mer
0 Kommentarer
sort Sortera efter