KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | OFFICIAL VIDEO
0
0
11 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Hakuna Mungu Kama Wewe
Wimbo ambao umepewa kibali na Mungu, kuimbika na kusikilizwa na watu wa kila rika, kila dini, mahali pote duniani, kwa utukufu wa Mungu.
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama, inawakaribisha wote kuimba kwa kumsifu Mungu kupitia wimbo huu. Iwe katika Furaha, Majonzi na hali yoyote ile, kumbuka HAKUNA MUNGU KAMA YEYE, ANAWEZA.
ANGALIZO:
Mtu yeyote anaruhusiwa kuuimba wimbo huu, bila kuvunja sheria za haki miliki. Lakini zaidi ala na maudhuri ya wimbo huu, yasitumike kwenye ujumbe tofauti na malengo yake. Imba, cheza, sifu lakini tunza maana na makusudi ya ujumbe wa wimbo huu.
Show more
0 Comments
sort Sort By