Live -KUVUKA VIKWAZO VYA KUKATA TAMAA
0
0
2 Views·
10 August 2023
Watu wengi sana leo wamekata tamaa:
Wengine wamekata tamaa ya kutoendelea na wokovu.
Wengine wamekata tamaa ya kuolewa tena na kuamua kurudi
duniani.
Wengine wametafuta watoto muda mrefu wamekata tama na
kuamua kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Wengine wamekata tamaa ya kumsubiria Mungu na kuamua
kujaribu kwa waganga wa kienyeji.
Wengine wamekata tama na kuamua kufanya matendo ya ajabu na
hata kujiua.
Mch na Mwl. Dr. PETER MITIMINGI. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39
Show more
0 Comments
sort Sort By