MADAM MARTHA BARAKA - MCHAKAMCHAKA
0
0
3 Views·
02 August 2023
In
Gospel Songs
@MADAM MARTHA BARAKA - MCHAKAMCHAKA-Ni wimbo wa kumsifu Bwana wa majeshi uliobeba nguvu yakutusukama mbele.Bwana alituachia agizo la kuihubiri injili kwa kila kiumbe kwa kila namna.Mimi Madam Martha Bwana ameweka kwangu ujumbe huu wa MCHAKAMCHAKA lengo nikukufikia wewe na kukumbusha kuwa tunahitajika kuihubili injili kwa kila namna.
barikiwa sana unapoendelea kuusikiliza wimbo huu #madamMarthaMchaMchaka#
Show more
0 Comments
sort Sort By