Magreth James (UNAWEZA OFFICIAL VIDEO)
0
0
3 Kutazamwa·
03 Agosti 2023
katika
Nyimbo za Injili
Neema ya Kristo Yesu haibadiliki kamwe na Daima Bwana analitazama Neno lake apate kulitimiza ,tafadhali unapotazama wimbo huu wa baraka popote ulipo ulimwenguni kumbuka jambo Moja nalo ni "MUNGU BABA ANAWEZA"
UMEBARIKIWA
Ninakuombea Mema
Insta;magrethjamesofficial
Fb;Magreth James
Amen,
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa