Maombi Binafsi ya TOBA/ Maombi ya REHEMA / ni wewe na MUNGU bila padre wala mchungaji au mtume
Usionewe na shetani tena. Yesu amechukua dhambi zako. Sogea mbele za Mungu, kwenye kiti cha rehema kwa ujasiri upate neema na rehema. Unajua kwamba Mungu anafurahishwa na mwenye dhambi anayetubu??
Soma Zaburi ya 51 uone mfano wa toba yako.
Usilie tena, usihuzunike sasa, INUKA USHANGILIE UMTUMIKIE MUNGU, Umesamehewa, usitende dhambi tena.
Karibu sana katika chaneli yako nzuri ya Muyo TV. Muyo TV ni chaneli yako ambayo inakupa ulingo wa kuelimika, kuburudika na kuhamasika. Katika chaneli hii pia utapata taarifa za matukio mbalimbali kitaifa na kimataifa. Ili uweze kufaidika na mambo yote hayo usisahau ku-subscribe katika chaneli yetu.
#MuyoTv #BroMussaKisoma #Tanzania
Kwa Mawasiliano :
Contact: +255753469525
Email: muyomedia@gmail.com