Martha Mwaipaja - Cha Kutumaini Sina (Official Music)
0
0
11 意见·
01 九月 2023
在
音乐
Tenzi hii ya cha kutumaini sina nimeiomba nikiwa najua kabisa hakuna cha kutumaini kwenye maisha yangu ya hapa duniani.Usikate tamaa bado Mungu anakuwazia mema endelea mbele ukijua kwamba yeye ndie mwamba salama kwenye kila eneo la maisha yako.#MarthaMwaipaja #Chakutumaini#TenziZaRohoni
显示更多
0 注释
sort 排序方式