Martha Mwaipaja - Maumivu Ya Jaribu (Official Music Video)
0
0
4 Görünümler·
26 Temmuz 2023
İçinde
Müzik
Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake.
#MarthaMwaipaja#MaumivuYaJaribu#MusicVideo
Daha fazla göster
0 Yorumlar
sort Göre sırala