Martha Mwaipaja - Najulikana Mbinguni (Official Music Video)
0
0
1 צפיות·
26 יולי 2023
Wakati wengine wanafurahia kujulikana duniani na kuwa maarufu sisi tuliokoka tunajivunia kujulikana mbinguni kwa Baba yetu.Usiangaike kutafuta umaarufu kwa watu fanya bidii sana katika kumjua Mungu aliyekuumba na hakikisha jina lako limeandikwa mbinguni.#Najulikana#MarthaMwaipaja#MusicVideo
להראות יותר
0 הערות
sort מיין לפי