Mawazo ya Mungu - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
Watch,hear the Message and Share "MAWAZO YA MUNGU" (Gospel Song).
-Mawazo ya Mungu ni tofauti kabisa na mawazo ya Mungu.
-Mawazo ya Mungu ni bora zaidi.
-Mawazo ya mwanadamu yana kikomo.
-Lakini Mungu wetu ni wa milele na mawazo yake yapo juu sana hayawezi kupimwa.
-Anatuwazia mema.
-Anatutendea mema.
-Wema wa Mungu huwavuta walioko dhambini ili watubu.
#AbiudMisholi#MawazoYaMungu#
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Boomplay - https://www.boomplaymusic.com/share/artist/48427594?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
Spotify - https://open.spotify.com/album/4tFQPNEXKYUCLqOd8pZleL?si=HB2WdwFSSTKMRcclMfkNew&utm_source=copy-link
Hungama -
http://www.hungama.com/album/uje-unitoe/89061074
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com