Mchungaji huyu alivyo charuka Madhabahuni Mwaka mpya.
0
0
4 意见·
19 八月 2023
在
音乐
Mchungaji Abraham Raphael Shafuli wa Kanisa la Pentecoste Calvary Yombo Dovya lililopo Temeke,Dar es salaam ,alitoa ujumbe mzito kwawaumini wa kanisa hilona Wakristo kwa ujumla kujua kuwa Mungu anawachunguza matendo yao yote wanayoyafanya kila siku.
显示更多
0 注释
sort 排序方式