MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI/MANENO YAKE YA MWISHO KABLA YA KIFO CHAKE/TUMUOMBE MUNGU/CORONA
0
0
3 Views·
10 August 2023
TANZIA: MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU
-
Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi ni kiongozi wa Kanisa la Warehouse Christian Center(WHC)
-
Mpaka anafariki alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma ya the Voice of Hope Ministry, Mshauri wa Saikolojia wa BLCCC
-
Alifahamika zaidi kwa mahubiri na mafundisho yake kuhusu mahusiano na maisha ya ndoa yaliyoenea zaidi kupitia Mitandao ya Kijamii
Show more
0 Comments
sort Sort By