Avanti il prossimo

Mgosa Myovela_Jali ibada.

4 Visualizzazioni· 19 Agosto 2023
proshabo
proshabo
5 Iscritti
5
In Musica

Bwana Yesu asifiwe!!. kwanza kabisa ninayo Furaha kubwa kwasababu Mungu ameachilia neema ya kufikia wakati huu tenna. basi leo nimetoa wimbo huu mwingine ambao ninaamini utabarikiwa sana kwa kuusikiliza na hata kushirikisha na wengine.
Pia kwa wewe ambae bado hujasubscribe bado basi karibu leo usubscribe na hapo utaweza kupata vitu vingi zaidi. Yajayo yanakuja na Baraka zako tele.
Mungu akubariki wewe kwa upendo wako huu wa kukubali kushiriki nami katika kumtumikia yeye Mungu wetu alie tuita kuifanya kazi yake. Barikiwa sana.
Amina.

Mostra di più

 0 Commenti sort   Ordina per


Avanti il prossimo