Mgosa Myovela_MJUE YESU.
0
0
4 Kutazamwa·
19 Agosti 2023
katika
Nyimbo za Injili
Ubarikiwe sana Ndugu Mtazamaji na wewe ambae unafuatilia channel hii ili kuona kwamba unapata burudani, maarifa na mambo mengine mengi mazuri. Hakika Mungu anajivunia wewe na atakubariki wala hutabaki hapohapo ulipo. Zaidi sana endelea Kushare na kwa watu wengine ili wapate habari hizi njema za ukombozi kwaajili ya maisha yao. Tunajua Mungu ni Pendo na anatupenda sana kuliko mfano ndomana amekupa kibali na neema hii ya ajabu. Amina zidi kubarikiwa na Mungu akubariki sana.
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa