Mgosa Myovela_Sisi ni Viungo.. Official audio.
0
0
2 Kutazamwa·
19 Agosti 2023
katika
Nyimbo za Injili
1 Wakorintho 12
11 lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye.
12 Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo.
20 Lakini sasa viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja.
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa