MGOSA MYOVELA_YUPO KWAAJILI YANGU.
0
0
8 Lượt xem·
19 Tháng tám 2023
Trong
Âm nhạc
Karibu tumuimbie Mungu alie hai ambae ndie kila kitu katika maisha yetu.
Wimbo huu ni wimbo unao tuonyesha jinsi Mungu alivyo karibu nasi ili kutupigania. Hakika Mungu yupo nasi. basi usisahau ku-Subskribe na kushare ili kwa pamoja tuwafikie watu wengi zaidi katika kutiwa nguvu na kumjua Mungu halisi na uweza wake na uaminifu wake kwetu.
Mungu akubariki sana kwa Kushirikiana nami katika kazi ya Mungu.
Cho xem nhiều hơn
0 Bình luận
sort Sắp xếp theo