MITIMINGI # 138 UNAPOTAFUTA MCHUMBA USIANGALIE KIGEZO KIMOJA TU.
0
0
2 Views·
10 August 2023
Walimu wengi wamekuwa wakiwafundisha vijana kwamba wanapoangalia mchumba sahihi wa kuoana naye wazingatie kigezo kimoja tu ndani ya moyo(Rohoni). Lkn ushauri ni kwamba unapotafuta mchumba angalia vigezo vyote unavyoviitaji rohoni na mwilini. Wengine waliangalia kwa vigezo vya maumbo ya mabinti, mwishowe wakaishia kwenye majuto.
Mchungaji na Mwalimu MITIMINGI p. VHM 0713183939
Show more
0 Comments
sort Sort By