MITIMINGI # 147 CARE - NI SINDANO YA 2 KUUTEKA MOYO WA MWANAMKE
0
0
7 Kutazamwa·
10 Agosti 2023
katika
Watu na Blogu
Wanaume wengi hawajali hisia za wake zao, kujua amekula nini, amevaa nini amelalaje? Hawawapigi wake zao kwa fimbo lkn wanaumiza hisia zao. Je ni kwa kiwango gani hisia za wake zao zinaumizwa kwa kutokujali? Msikilize mchungaji na mwalimu Mitimingi
Usisahau Kusubscribe kwa mfululizo wa masomo haya. JE SINDANO YA 3 NI IPI?
kwa Ushauri (Counseling Appointment wasiliana na COUNSELING PSYCHOLOGIST KWA +255 713 18 39 39)
Mch Na Mwal DR. MITIMINGI p. VHM
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa