اگلا

MITIMINGI # 216 MKE, UKIFANYA HAYA - MWANAUME KUCHEPUKA ITAKUWA NI KITUO CHA POLISI

2 مناظر· 10 اگست 2023
proshabo
proshabo
5 سبسکرائبرز
5

Je, Ushawahi jiuliza kwa nini wanaume wengi! Wanachepuka? Kwa nini wanaume wengine huchelewa kurudi nyumbani usiku? TAFITI Za saikolojia zinaonesha kwamba - Mwanaume hapendi/Huchukizwa na mwanamke mwenye kelele nyingi.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

مزید دکھائیں

 0 تبصرے sort   ترتیب دیں


اگلا