Up next

MITIMINGI # 233 SIRI 3 ZA FURAHA NA AMANI KATIKA NDOA NA FAMILIA - Part 2.

2 Views· 10 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

MOJA ya kitu ambacho mwanamke anakiitaji kutoka kwa Mume NI KUHESHIMIWA, Wanaume wengi hawawaheshimu wake zao. Wake zao wanapendeza lkn mwanaume hajawahi kumsifia mke wake. ILI KULETA AMANI NA FURAHA KATIKA NDOA MWANAUME INAHITAJI KUMUHESHIMU MKEO.

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. +255 713 18 39 39 Counseling Psychologist

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next