Bir sonraki

MITIMINGI #241 MWANAUME ASIYEJUA KUDHIBITI HISIA ZAKE, NI VIGUMU KUTULIA KWENYE MAHUSIANO

2 Görünümler· 10 Ağustos 2023
proshabo
proshabo
5 Aboneler
5

Dalili mojawapo ya kubaini mme wa kukufaa katika mahusiano! Ni kuchunguza juu ya kudhibiti hisia zake, Je anaweza kudhibiti hisia zake? Wapo ambao kila mwanamke akipita, wanaenda nae! Mahusiano ya ndoa yanahitaji kutulia. Wadada Chunguza na kuwa makini unapotafuta mume sahihi wa kukufaa kwenye KIGEZO MOJAWAPO CHA KUCHUNGUZA NI JUU YA HISIA

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counselig Psychologist +255 713 18 39 39

Daha fazla göster

 0 Yorumlar sort   Göre sırala


Bir sonraki