MITIMINGI # 255 MSHAHARA NA POSHO YA SANGWINI HUISHIA KWA WATU
0
0
2 Views·
10 August 2023
Kwa kuwa sangwini ni mtu wa watu, mshahara wake huishia kwa watu. Akipita sehemu akikuta watu wameboreka, aatawanunulia vitu, chakula NK.
Ukizijua haiba za watu utachukuliana nao, utawasaidia lkn cha muhimu zaidi utaishi na watu vizuri.
Mch na Mwl DR MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Show more
0 Comments
sort Sort By