MITIMINGI # 395 WIVU NI HATUA YA KWANZA KUKUPELEKEA KWENYE KIFO
0
0
3 Views·
10 August 2023
Ukiona mtu anakuonea wivu, ujue anatarajia kukuondoa kwenye uso wa dunia, usiwepo kabisa. Mtu akikuonea wivu yupo tayari uangamie ili roho yake iwe salama. Kama una kipaji na haupo vizuri na Mungu utangamia.
SOMO: KIPAJI NA MAHUSIANO
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Show more
0 Comments
sort Sort By