MITIMINGI # 647 USIOGOPE KUSEMWA, KUPINGWA, UNAPOANZISHA BIASHARA/MAONO
0
0
3 Vues·
10 Août 2023
Dans
Personnes et Blogs
MAONO kabla kuzaliwa ni lazima upitie kipindi cha Uchungu na ugumu. Watu watakupinga na kukukejeri. Wakati mwingine wanaweza wakawa ni watu wa karibu sana. Usiogope Piga hatua na songa mbele. MUNGU yupo pamoja nawe.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par