MUUJIZA MKUBWA NA ENDELEVU KULIKO YOTE DUNIANI - Askofu Sylvester Gamanywa
0
0
4 Vues·
06 Août 2023
Dans
Bible Teachings
Ibada ya #krismas,
“Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake
utamwita Yesu. Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana
Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake. Ataimiliki nyumba ya
Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.” (LUK.1:31-33)
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par