MWAMBA WENYE IMARA beat (Tenzi za Rohoni) By: Jonsking
0
0
5 Kutazamwa·
10 Agosti 2023
katika
Nyimbo za Injili
Kwa wewe unayependa kuimba nyimbo za tenzi za rohoni, nimekusogezea beat la wimbo huu uweze kuburudika na kuimba tenzi ukiwa nyumbani kwako au popote. Mungu akutane na mahitaji yako na akujibu kila uombalo sawa sawa na mapenzi yake.
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa