Mwanamke Bomba | Kutana na Mercy Masika, anayefanya kazi ya uvuvi na kutengeneza mitambo ya boti
0
0
2 بازدیدها·
28 جولای 2023
که در
موسیقی
Kazi nyingi zinazoambatana na uvuvi mara nyingi zimeachiwa wanaume. Hata hivyo Mercy Masika aliamua kujitosa miongoni mwa wanaume kujitafutia riziki huko sindo kaunti ya Homa Bay. Mercy ambaye ni fundi wa kutengeza mitambo ya boti za uvuvi ndiye anayetupambia makala yetu ya mwanamke bomba hii leo.
بیشتر نشان بده، اطلاعات بیشتر
0 نظرات
sort مرتب سازی بر اساس