Up next

Mwl. Mgisa - UTAKATIFU - Ticket ya Kumwona Mungu.

3 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Kuna maisha baada ya Kufa, ni maisha ya milele. Kila mtu ataishi milele, wenye haki na wenye dhambi wote, tutaishi milele. Aidha Jerusalem milele au Jehanamu milele. na Kitu pekee unachovuka nacho kutoka duniani kwenda milele, ni uhusiano wako na Mungu. Na huo ndio unaoamua utaishi wapi milele. Huendi na pesa, wala tuzo wala vyeti vyako. Vitu hivi vinachukua muda wetu mwingi, jap havina nafasi ya kutusaidia baada ya kufa. Tafuta uhusiano mzuri na Mungu kwa toba na kumpokea Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwkozi wako. kisha ... Boresha uhusiano wako na Mungu, takasa uhusiano wako na Mungu. Linda uhusiano wako na Mungu, ndicho kitu cha thamani kuliko fedha na dhahabu. Yesu alisema "itakusaidia nini kuupata ulimwengu wote, halafu ukapata hasara ya roho yako?" Mathayo 16:26

Mwl. Mgisa Mtebe, Christ Rabbon ministry. Dar es Salaam Tanzania. mgisarabbon@gmail.com www.mgisamtebe.or.tz +255753497655 +255713497654

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next