Bir sonraki

Nani mwenye huu Mwenge ulio na Wasabato leo.

10 Görünümler· 19 Ağustos 2023
proshabo
proshabo
5 Aboneler
5
İçinde Bible Teachings

zamani ilitangazwa ni dhambi Mkristo kuchangia pesa ya Mwenge, unaozungushwa na wanasiasa, je, imekuwaje sasa wakristo nao kuwa na Mwenge kama ule ule wa kwenye siasa? je Mungu amebadilika? au Shetani amekuwa Mungu?

Isaya 50
11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni. #mwengewawasabato #matengenezo sikuzamwisho

Daha fazla göster

 0 Yorumlar sort   Göre sırala


Bir sonraki