NDOA NI HESHIMA KUBWA, ANAEOZESHA NI MUNGU - ASKOFU GAMANYWA
0
0
3 Views·
06 August 2023
Ndoa ni heshima kubwa, anaeozesha ni Mungu, Askofu Sylvester Gamanywa aliyasema hayo mara baada ya kufungwa ndoa kwa kati ya Meshack Otoore na Sha'mael Gamanywa, BCIC Mbeazi Beach, Dar es Salaam.
#ndoa, #familia, #BCIC, #meshack #sha'mael #gamanywa
Show more
0 Comments
sort Sort By