Nimesongea | Nyimbo Za Kristo/Tenzi Za Rohoni | Instrumental 142.
0
0
5 ビュー·
10 8月 2023
の
音楽
Karibu Advent TV Online UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE 🙏🙏🙏
142-Nasikia Sauti Yako
I Hear Thy Welcome Voice (SDAH282)
Doh ni E♭
Nasikia mwito, Ni sauti yako;
Nikasafiwe kwa damu Ya kwangikwa kwako.
CHORUS
Nimesongea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako.
Ni mnyonge kweli, Umenipa nguvu;
Ulivyonisafi taka Ni mtulivu.
Yesu hunijuvya; Mapenzi, imani,
Tumai, amani, radhi, Hapa na mbinguni.
Napata wokovu, Wema na neema;
Kwako Bwana nina nguvu Na haki daima.
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え